DOCTOR MKOMBOZI




 


                Dr Mkombozi Kazini. Nikiwa katika Uwanja wangu wa nyumbani sifanyi makosa.


                                         Nikiwa Najaribu kutatua matatizo ya wagonjwa online.




  
Hapa nikiwa pharmacy yangu ya asili. Pharmacy hii ni kubwa sana. Kuna dawa za kila aina ilimuradi kuwapa hauweni wagonjwa wangu.
  

Nikiwa na swaiba wangu.Ni mganga mwenzangu. Tunasaidiana kuhkisha tunawapata tiba mbadala kwa wagonjwa wetu








              Picha zote nimepigia ofisi mwangu. Kama picha ya hapo juu inavyosema "chumba cha mganga"   
                     Huo   ndo mlango wa kuingilia kwa mganga mkuu "Kuonana na dr Mkombozi"