Saturday, October 1, 2011

KITI CHA MFALME




Kiti hiki ni kwa ajili ya wale wanaopenda kupanda cheo, au umaarufu au kukubalika mbele ya Umati ya watu.
Kwa wale wote waliofanya kazi kwa kipindi kirefu pasipo kupanda cheo Huu ni wakati wenu sasa ! Mda umefika wa nyinyi pia kupata cheo.